mazishi ya imam khamenei

IQNA

IQNA – Rais wa Baraza la Ushauri la Mashirika ya Kiislamu ya Malaysia (MAPIM) amesema kuwa mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, yanatoa ujumbe mzito unaovuka mipaka ya Iran.
Habari ID: 3482438   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/04

IQNA-Viongozi waandamizi wa Iran, marais na wakuu wa nchi, pamoja na wageni mashuhuri na wajumbe wa ngazi za juu kutoka mataifa mbalimbali duniani, wamefika Tehran kutoa heshima zao kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3482437   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/04

IQNA – Tangu alfajiri ya jana, Julai 3, jijini Tehran, kumekuwa na mwendelezo wa shughuli za heshima za mwisho kwa mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, na mashahidi wengine waliojitoa mhanga kwa ajili ya Uislamu na taifa la Iran. Shughuli hii muhimu inafanyika katika Musalla wa Imam Khomeini (RA).
Habari ID: 3482436   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/04

IQNA-Mamilioni ya waumini wanatarajiwa kufurika katika miji mitakatifu ya Najaf na Karbala nchini Iraq kushiriki katika shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3482433   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03

IQNA – Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei, hakuwa tu mwanasiasa na mtaalamu mashuhuri, bali pia alikuwa kielelezo cha kanuni ya kiroho, kulingana na mwanafalsafa maarufu wa Urusi (Russia).
Habari ID: 3482432   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03

IQNA – Katika hafla iliyofanyika katika Ukumbi wa Sala a wa Imam Khomeini (MA) mjini Tehran siku ya Ijumaa, Julai 3, 2026, wageni wa kimataifa pamoja na maafisa mbalimbali walitoa heshima kwa mwili mtukufu wa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyed Ali Khamenei.
Habari ID: 3482431   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza awamu ya kwanza ya taratibu za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, huku viongozi wa kimataifa na wanazuoni wa kidini wakifika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini maarufu kama Mosalla mjini Tehran kutoa heshima zao za mwisho.
Habari ID: 3482430   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/03

IQNA-Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesisitiza kuwa umati mkubwa wa wananchi utakaojitokeza katika shughuli za mazishi ya Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Seyyed Ali Khamenei, utakuwa ni “jibu madhubuti” dhidi ya vitendo vya kigaidi, ukatili, na mbinu za kibeberu. Aidha, amebainisha kuwa tukio hilo litakuwa ni dhihirisho la wazi la umoja wa taifa la Iran na dhamira yake isiyotetereka katika kulinda uhuru na heshima ya nchi.
Habari ID: 3482429   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/02

IQNA – Katibu wa Kamati ya Kitaifa ya Mazishi na Kuaga kwa Kiongozi Shahidi wa Mapinduzi ya Kiislamu ametangaza maelezo mapya kuhusu shughuli zilizopangwa kufanyika nchini Iraq.
Habari ID: 3482424   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/07/01

IQNA – Kufuatia kuanza kwa uratibu mpana kati ya taasisi za Iraq na Iran, Iraq inajitayarisha kuandaa misafara ya mazishi ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatullah Seyed Ali Khamenei katika miji mitakatifu ya Najaf na Karbala.
Habari ID: 3482419   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/29